Tuesday, October 5, 2010

HARAKATI NDANI YA KATA YA WAZO...

Halima Mdee na kamanda Ernest MSetti (diwani wa kata ya Wazo) katika harakati za ukombozi na kusaka kura mtaa kwa mtaa.

Friday, October 1, 2010

MDEE APASUA JIPU,TEGETA-WAZO!........

Alhamisi ya tarehe 30 mwez 9,mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema jimbo la kawe Mh Halima James Mdee,alipasua jipu lingine juu ya ufisadi uliokithiri katika manispaa ya kinondoni.Akiwahutubia wapiga kura wa eneo la Kwa Panga,Tegeta Wazo hill,.Mh Mdee aliwaeleza wananchi juu ya Kupuuzwa kwa madai ya wanakijiji wa kijiji caha CHASIMBA juu ya mgogoro wao wa Ardhi ambao aliusimamia wakati akiwa Mbunge wa viti maalumu.Mheshimiwa Mdee ataendelea na mikutano mingine wikiend hii katika maeneo ya Salasala na Mlalakuwa survey.