Jumamosi Tarehe 2/10 mkutano utafanyika RTD-SALASALA WAZO.
Jumapili Tarehe 3/10 mkutano utafanyika MLALAKUWA-SURVEY.
Mikutano ya ndani nayo inaendelea,kama kawaida.
Ni jukumu la kila mpiganaji kutafuta Kura,kupiga kura na Kulinda kura.
WOTE MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA,
TUSHIRIKIANE KULETA MABADILIKO.
Ratiba ya mikutano ya wikend hii ndio kama ilivyotajwa,hivyo wapambanaji tunaomba support yenu ya dhati..
ReplyDeleteTUSHIRIKIANE KULETA MABADILIKO YA KWELI!.
ASANTENI.
Tumekupata Mheshimiwa, Tutakuwa pamoja Mlalakuwa Survey siku ya jumapili.
ReplyDelete